Kuhusu SmileKE

Kila Mkenya anastahili kutabasamu bila kuficha meno.

SmileKE ni jumuiya ya utunzaji wa meno ya Kenya. Tunakuletea njia salama, rahisi na ya bei nafuu ya kupata tabasamu unalojivunia, nyumbani kwako.

Anza tabasamu lako
  • Original Dr. Dent
  • Lipa ukipokea
  • Kaunti zote 47
Mwanamke wa Kenya akicheka kwa uhuru, tabasamu jeupe la asili
Marafiki wa Kenya kwenye picha ya sherehe, mmoja akifunika tabasamu lake kwa mkono
Kwenye kila picha, kuna mtu mmoja anayeficha tabasamu lake.

Jinsi tulivyoanza

Ilianza na mkono mmoja uliofunika tabasamu.

Kwenye kila picha ya familia, kuna mtu anayecheka huku amefunika mdomo. Mtu anayesimama nyuma. Mtu anayetabasamu bila kufungua midomo.

Kenya ni nchi ya chai. Asubuhi chai, kazini kahawa, jioni chai tena. Baada ya miaka, madoa yanajenga polepole, na wengi wanaanza kuficha tabasamu lao bila hata kugundua.

Suluhisho lilikuwa mbali. Kliniki inaweza kuchaji hadi KSh 12,000 kwa jino moja*. Strips nyingi za mtandaoni hazina jina, maelezo wala msaada. Tuliona pengo hilo. Tukajenga SmileKE kulijaza.

Lengo letu ni rahisi: Kenya ambapo hakuna anayehitaji kuficha tabasamu lake tena.

Tunachouza kweli

Hatuuzi strips. Tunauza wakati ule unapocheka bila kufikiria.

  • ✓Unasimama mbele kwenye picha ya familia.
  • ✓Unacheka kwa sauti, bila mkono mdomoni.
  • ✓Unaingia kwenye interview ukiwa na confidence.
  • ✓Unaongea karibu na watu bila wasiwasi.
  • ✓Unatabasamu kwenye picha za harusi, graduation na Disemba.

Box ya Dr. Dent ni chombo tu. Tabasamu lako ndilo lengo.

Ahadi zetu

Ahadi 4 tunazoshika kila siku.

  • 🛡️Original tuSisi ni msambazaji rasmi wa Dr. Dent Kenya. Kila box ni halisi, kutoka kiwandani hadi mlangoni kwako.
  • 🤝Ukweli kwanzaHatukuahidi miujiza. Strips zinaondoa madoa ya juu ya chai, kahawa na sigara. Hazitibu fluorosis (meno ya brown kutoka maji). Tunakuambia ukweli kabla hujanunua.
  • 💵Lipa ukipokeaHulipi chochote mpaka box iko mkononi. Kagua kwanza, kisha lipa kwa M-Pesa au cash.
  • 🚚Kenya nzimaDelivery siku 1 hadi 3 kwenye kaunti zote 47, kutoka Mombasa hadi Kisumu.
  • 42strips kwa box
  • 21matibabu kamili
  • 30dakika kwa siku
  • 47kaunti tunazofikia

Jumuiya ya SmileKE

Sisi si duka tu. Ni jumuiya.

Kila wiki tunashare tips za meno: jinsi ya kulinda meno baada ya chai, nini kinasababisha madoa, na jinsi ya kupata matokeo bora kutoka kila strip. Bure, kwa Kiswahili, bila kelele.

Ukinunua leo, unapata zaidi ya box. Unapata watu wanaojali tabasamu lako kama wewe.

Marafiki wa Kenya wakicheka pamoja, jumuiya ya SmileKE
Dr. Dent Max White Kit, box ya whitening strips 42 original

Tabasamu lako linakusubiri.

Dr. Dent Whitening Strips: strips 42, matibabu 21. Dakika 30 kwa siku, bila peroxide. Weupe zaidi kutoka matumizi ya kwanza.

Agiza sasa · Lipa ukipokea
  • Original
  • Delivery siku 1 hadi 3
  • Kaunti zote 47

*Mfano wa bei ya kliniki moja ya Nairobi, kwa jino. Matokeo hutofautiana kwa kila mtu. Kwa meno nyeti, matatizo ya fizi au fluorosis, ona daktari wa meno kwanza. Kwa watu wazima.