Kunywa chai bila madoa
Huhitaji kuacha chai. Badilisha tabia ndogo tu.
Soma zaidi
- Suuza mdomo kwa maji baada ya kila kikombe.
- Kunywa chai yako, usiinywe kidogo kidogo siku nzima.
- Kahawa nyeusi na chai kali huacha madoa zaidi.
Original Dr. Dent · Delivery 12 to 48h
Chai na coffee stains? Dakika 30 kwa siku, white smile nyumbani. Delivery bure kaunti zote 47, lipa ukipokea.
Dakika 1 · Bure
Jibu maswali 5 na upate ushauri wako binafsi kutoka jumuiya ya SmileKE. Ukweli tu, hakuna kubahatisha.
Jumuiya ya SmileKE
SmileKE si duka tu. Ni jumuiya ya Wakenya wanaojali meno yao: ushauri wa kweli, vidokezo vya kila siku na majibu ya bure kwenye WhatsApp.
Vidokezo vya tabasamu 🦷
Huhitaji kuacha chai. Badilisha tabia ndogo tu.
Mara 2 kwa siku, dakika 2 kila mara. Ndiyo msingi wa kila tabasamu.
Madoa ya kahawia au meupe tangu utotoni, kutoka maji yenye fluoride nyingi.
Ukaguzi wa mapema huzuia matatizo makubwa na gharama kubwa.
Vidokezo vya kila wiki, maswali bure na ofa za wanajumuiya kwanza.
Maswali ya wanajumuiya
Kwa watu wazima. Mjamzito, anayenyonyesha, au mwenye matatizo ya fizi: ongea na daktari kwanza.
Max White Kit: matibabu 21, dakika 30 kwa siku. Original Dr. Dent, moja kwa moja kutoka kwa msambazaji rasmi.
KSh 3,990Delivery bure · lipa ukipokea · ndani ya saa 12 hadi 48